MANGEEE
Wednesday, December 11, 2013
Mandela atazikwa na ng'ombe dume.
Katika hali ya kushangaza ulimwengu, Madiba atazikwa na ng'ombe dume ikiwa ni moja kati ya mila za kabila la
Thembus.
Hayo yamesemwa na wazee wa kabila hilo huku wakisisitiza kutoingiliwa na mtu yoyote wala serikali katika hili.
Newer Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)