Wednesday, December 11, 2013

Mandela atazikwa na ng'ombe dume.


Katika hali ya kushangaza ulimwengu, Madiba atazikwa na ng'ombe dume ikiwa ni moja kati ya mila za kabila la Thembus. 

Hayo yamesemwa na wazee wa kabila hilo huku wakisisitiza kutoingiliwa na mtu yoyote wala serikali katika hili.

No comments:

Post a Comment